CONTACT US

KUWA STAR / MAARUFU ULIMWENGUNI SASA
TANGAZA NASI KUPITIA WEBSITE YETU PENDWA NA YENYE URAHISI WA KUPAKUA KAZI MBALIMBALI ZA WASANII PAMOJA NA MATANGAZO

KWA MAWASILIANO WASILIANA NASI KUPITIA 

PHONE/WHATSAPP/TIGO PESA /M-PESA :- +255 655 813 994 , 0745764789 , 0718070008
EMAIL :- ezmusictz@gmail.com / ezmusicbaby@gmail.com
FACEBOOK @EVIANTON ZEROW
INSTAGRAM @EZMUSICTZ

UFAFANUZI NA JINSI YA KUTANGAZA NASI

  1. Website yetu inatangaza kazi mbali mbali kama vile Gosple Kwaito RNB Hip Hop Taarabu Singeli Nyimbo za makabila Rege pamoja na aina nyingine mbalimbali
  2. Kama msanii ukiwa na Video ukiambatanisha na Audio yako gharama yake ni Tsh 15000/= za kitanzania
  3. Kama unataka kutangaziwa tangazo au bidhaa yako yoyote gharama yake ni TSH 10000/= kwa mwezi tangazo lako litakaa mwanzoni kabisa mwa page zetu zote
  4. Kama msanii ukiwa na Audio peke yake ghalama zake za kutangaza kupitia website yetu ni Tsh 10000/= za kitanzania
  5. Unacho takiwa kufanya Tuma nyimbo yako (Audio) kupitia Email zetu hapo juu ukiambatanisha na cover / picha ya nyimbo yako na kama tayari una video ya nyimbo yako tuma Audio , cover pamoja na link ya nyimbo yako ya Youtube
  6. Nyimbo yako itaweza kuruka hewani ndani ya masaa 6 kutokana na tatizo la kukatika kwa umeme
  7. Nyimbo yako itaweza kuwafikia watu si chini ya 3000,000/= kwa miezi 6 ya awali na kuwafikia watu wa Afrika mashariki na Afrika nzima kwa ujumla
  8. Zingatia Nyimbo yako haitaweza kuruka hewani bila kukamilisha malipo kupitia account yetu au Tigo pesa
  9. Ogopa matapeli website yetu haitumii mawasiliano zaidi ya hayo hapo juu endapo wakitokea kukudanganya toa taarifa kupitia kituo cha polisi kilicho karibu nawe
  10. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia mawasiliano yetu hapo juu
USISITE KUTUTAFUTA  KWA MASWALI MAONI AU USHAURI KUHUSU WEBSITE YETU
VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA